Manchester United want Victor Wanyama.

Manchester United want Victor Wanyama.

I think Mugabe is a midfielder, tena holding. Anafananishwa vipi na Torres?

nani kasema ni striker ...?

kila mchezaji on the green field ana majukumu flani ... wanyama kama kiuongo majukumu yake anayamuu vizuri... tores as a striker majukumu yake yanampa shida ....

he is worth that much sababu anamzidi torres katika kukamilisha majukumu yake na nikaongeza he knows where the net is .. ni gift nayo hiyo kwa mchezaji kiungo...
 
nani kasema ni striker ...?

kila mchezaji on the green field ana majukumu flani ... wanyama kama kiuongo majukumu yake anayamuu vizuri... tores as a striker majukumu yake yanampa shida ....

he is worth that much sababu anamzidi torres katika kukamilisha majukumu yake na nikaongeza he knows where the net is .. ni gift nayo hiyo kwa mchezaji kiungo...

Umejisikia tu kuendeleza ubishi.
Hata kiungo aweje, afunge magoli afungavyo, tunapomweka kwenye vipimo atapimwa kwa vigezo vya kiungo.
Twite amefunga magoli mengi kwenye VPL kuliko Akuffor na Atupele Green, lakini tutakapowapima hawawezi kukaa mizani moja. Lampard ni kiungo mwenye magoli mengi kuliko wote pale Uingereza (All-timer), lakini huwezi kumweka kwenye uafadhali kuliko mshambuliaji fulani, hayo si majukumu yake ya msingi.
#wrong #
 
_63734602_wanyama.jpg



BBC Sport - Celtic: Victor Wanyama worth £25m, says Neil Lennon

The dude is worth it and more....
Celtic shock Barca to stoke CL ambitions

PIX1.jpg


Barcelona's goalkeeper Victor Valdes (R) watches the ball hit the back of the net after Celtic's Kenyan forward Victor Wanyama (L) scored during their UEFA Champions League Group G football match at Celtic Park in Glasgow on November 7, 2012. AFP PHOTO/IAN MACNICOL


_64000673_wanyama_celeb_large_sns.jpg



​
GLASGOW, Scotland,

Celtic sent shockwaves around Europe as they produced a stunning 2-1 Group G win over Barcelona at Parkhead on Wednesday to end the Catalan giants' 100 per cent record in this season's competition.

Just as they had done in the Nou Camp two weeks ago Celtic took the lead against the run of play when Victor Wanyama headed them ahead in the 21st minute.

Barcelona, who have made a record breaking start to their domestic campaign and hadn't previously lost in the group stages for over three years, dominated possession but lacked a cutting edge in front of goal with Lionel Messi hitting the crossbar and Alexis Sanchez heading against the post in the first half.

Fraser Forster produced heroics in the Celtic goal to deny Barcelona with the keeper superbly stopping further efforts from Alexis and Messi after the break.

Celtic's chances were few and far between but they increased their lead in the 83rd minute when teenager Tony Watt, on as a substitute, scored a breakaway goal just 11 minutes into his Champions League debut.

Messi gave Barca hope in stoppage time when he pulled one back but the Hoops held on for a famous win the day after the club celebrated its 125th birthday.

Neil Lennon's side, who gained revenge for their stoppage time 2-1 defeat in the Nou Camp, now sit second in Group G on seven points just two behind the Catalan giants and could qualify with a game to spare if they get a score draw or better against Benfica in two weeks time.

With several first team players already missing Celtic had been dealt another blow before kick-off when skipper Scott Brown was ruled out with a virus and Gary Hooper failed to recover from injury.

Barcelona had their own injury problems to deal with in defence but Gerard Pique found a place on the bench for the first time since September.

The Catalan giants had dominated possession at the Nou Camp and started in a similar fashion in Glasgow.

However, after earning their first corner of the match Charlie Mulgrew fizzed his delivery to the back post where Wanyama rose above Marc Bartra to thump a header past Victor Valdes.

Following that it was all one-traffic towards the Celtic goal with Messi coming within inches of equalising when he collected a pass from Andres Iniesta in the box before cracking a half-volley off the bar.

Alexis then sent an angled header into the turf and cannoning off the base of the post after getting on the end of a Dani Alves cross in another let-off for Celtic.

The Hoops continued to frustrate Spain's league leaders after the break.

Forster was keeping Celtic in the match and he showed his worth moments later when he got down smartly to stop a drilled strike from Alexis and then made a second save with his legs to deny the Chilean forward.

There were more heroics from Forster in the 70th minute when he produced a superb one-handed save to stop Messi's strike from 10 yards.

Unbelievably, Celtic then increased their lead in the 83rd minute. Forster saved a Messi free-kick and his long kick out was then missed by Xavi to allow substitute Watt to get behind Javier Mascherano and drill a shot beyond Valdes.

Celtic shock Barca to stoke CL ambitions - Football - nation.co.ke
 
 
Last edited by a moderator:
ananihusu nini mtu huyo? bora ninyamaze niondoke zangu. si muda mrefu mtasikia ameukana ukenya amechukua uraia wa nchi nyingine kama wale wakimbiaji wa uarabuni ambao wanatia sifa nchi za kiarabu lakini zamani walikuwa wakenya.
 
ananihusu nini mtu huyo? bora ninyamaze niondoke zangu. si muda mrefu mtasikia ameukana ukenya amechukua uraia wa nchi nyingine kama wale wakimbiaji wa uarabuni ambao wanatia sifa nchi za kiarabu lakini zamani walikuwa wakenya.
Kama ungalikua raia wa nchi ambazo hushinda medali katika spoti na Olimpiki, ungalielewa umuhimu wake. You'll never understand untill your country starts winning medals
 
ananihusu nini mtu huyo? bora ninyamaze niondoke zangu. si muda mrefu mtasikia ameukana ukenya amechukua uraia wa nchi nyingine kama wale wakimbiaji wa uarabuni ambao wanatia sifa nchi za kiarabu lakini zamani walikuwa wakenya.

Kama hakuhusu mbona umekuja kuchangia hapa? Si ungekaa kimya au uchangie kwa anayekuhusu?

Hakuhusu sasa kisebusebu cha nini? Usipende kuvamia fani ambazo huzijui.

We're talking about football here. Kama wewe siyo siyo mpenzi wa soka then sepa fasta.
 
Kuna govermental nationality na FIFA nationality.
Awadh Hafif hawezi tena kuchezea Tanzania, maana kule anacheza timu ya wakubwa na ameshazidi miaka 21, lakini govermentaly bado ni mtanzania.
Kama tu wale wachezaji wa Brazil ambao huwa wanakuwa na uraia wa Spain...

Chifu hujaeleweka!!
Unataka kusema nini?!?

Kuna kitu inaitwa dual citizenship; Brazil na Spain wanaruhusu raia wao kuwa na uraia wa nchi nyingine. Hivyo unavyoona wachezaji kutoka Brazil na mataifa kama Argentina wakichukua uraia wa Spain, fahamu wanafanya hivyo kwa mujibu wa sheria zao.

Sasa nirudi kwa suala lako la 'mtanzania' anayechezea timu ya taifa ya Qatar. Kama huyo mchezaji ana passport ya Qatar, basi huyo si mtanzania tena kwa mujibu wa sheria za uraia za Tanzania. Hapo kunakuwa hakuna cha governmental wala FIFA nationality. Kwani Tanzania hatuna dual citizenship. Jamaa atakuwa amejivua utanzania kama anamiliki passport ya Qatar.
 
wtz wanaocheza mpira wa kulipwa ulaya ni wangapi? ambaye ana hizo data atukulishe.
 
Kwa wanaomjua Fergie vizuri wanampa nafasi ndogo sana ya kusaini Wanyama sio kwa sababu hana uwezo au hajafikia kiwango cha kuchezea Manchester.Fergie ni kocha anayependa zaidi wide players na mwenyewe amewahi kuripotiwa akisema hajawahi kusaini holding midfielder.Pia nahisi itategemeana na jinsi Daren Fletcher atakavyo-recover form yake.Pia ikumbukwe Fergie alikuwa so much disappointed with Eric Djemba ambaye alikuwa yuko kwenye fomu poa kuliko hata hii ya Wanyama lakini alishindwa kabisa kuhimili mikiki ya United.Since then Fergie amekuwa ni kama ana imani na waafrika na anawapa nafasi kidogo sana ya kudhibisha uwezo wao.Kumbuka Manucho,Diouf...waliuzwa fasta fasta tu na ukiangalia hata kwa sasa Nani na Anderson ni kama wamo mguu nje,mguu ndani. Kwa sasa hizi zinabaki kuwa gossips za The Sun na Daily Mail tu.
 
Song alienda Barca kwa milioni 15 tu licha ya kuwa amecheza champions league kwa misimu zaidi ya mitatu kwenye timu kubwa...milioni 25 kwa Wanyama ni ngumu sana...
 
Kuna govermental nationality na FIFA nationality.
Awadh Hafif hawezi tena kuchezea Tanzania, maana kule anacheza timu ya wakubwa na ameshazidi miaka 21, lakini govermentaly bado ni mtanzania.
Kama tu wale wachezaji wa Brazil ambao huwa wanakuwa na uraia wa Spain...
What left ni kujivunia tu kwamba he's of our origin.
By the way, amechukua kombe la league Qatar mara kadhaa, Ubingwa wa Klabu wa AFC mara mbili akiwa na timu yake hiyo ya Al-Saad[/QUOTE

Wachezaji wa Brazil wenye uraia wa Spain?Nani hao?nitajie majina mkuu.
 
Manchester United want Wanyama

Wanyama_240113.jpg


Adapted from The Sun

Manchester United are ready to make a £10million summer bid for Celtic midfielder Victor Wanyama.


Boss Alex Ferguson checked out the Kenyan, 21, on Tuesday night when he scored in a 4-0 win over Dundee United.

The Red Devils have watched him in every Champions League game this season
, including the 2-1 home win over Barcelona in which Wanyama scored.

The 6ft 2in star is a strong defensive midfielder who can also play at centre-back.

Ferguson needs midfielders this summer with Paul Scholes, 38, and Ryan Giggs, 39, set to retire.

United face competition from Arsenal with Arsene Wenger believing Wanyama is the man to beef up their team.

But Celtic chief Neil Lennon wants to keep a player he bought from Belgian side Beerschot in 2011 for £900,000.

Standard Digital News - Kenya : Sports : Manchester United want Wanyama
 
Poa watani sawa tu kila lakheri ila nenda Man U hao watoto wengine ovyo sana.
 
Back
Top Bottom