Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hojlund alisema smalling ndiye beki mgumu aliyekutana naye SERIE A.

kwa hiki anachokionyesha mbele ya upamecano ni bora mechi za ligi tusimchezeshe tena.

Level yake ni beki wa CARABAO.
Kijana bado ni mwepesi, alipaswa kuwa backup option.
 
ni bora hata huko uropa tusiende hatuna uwezo wakua na wake wawili nikiwa na maan hatuna team ya kushnda ligi na uefa ikiwa kund lenye team copenhag qaratasary vp huko 16 kwenye majayant si ni aibu tu
 
Wote hao wanafungika. Kundi limewaindea vibaya ila natamani kusema mmestahili kuondolewa huku. Bado hamjawa tishio. Kwenye premier league mna GD ya -3. Huku champions leadue league mmefungwa mechi 4/6 na haijawahi kuwatokea ndani ya miaka 25 ya ushiriki kwenu. Mmeburuza mkia kwa yanza ndani ya miaka 18 ya ushiriki wenu. Ni vema mkajipange upya.
 
Kwa mtu anayejali afya yake ya akili hili litimu ni la kukimbia.

Wamiliki hawajielewi, miaka 10 ya kutoa pesa tu bila kuwa na ramani ya kufika nchi ya ahadi.

Wachezaji hawajitumi kuendana na mishahara wanayolipwa, uwezo mdogo, uvivu.

Karibuni sana Brighton & Hove Albion.
 
Unachukua fursa ya kutafuta wafuasi
 
U bastards have the courage to post this after u got us kicked out of our dreams of ever winning the champion league ever again we couldn’t even qualify for europa . I take this chance to say onana is garbage ten hag is garbage hojlund is the worst striker i have ever seen
. U guys just lost everything even to us fans who loose our trust each day on our team .Its no longer funny united play like u mean it,We’ve got liverpool next and i swear if we get beaten 10-0 i will find my way to old trafford u hear me

My ideas
 
Haya mambo ya vingereza yako jukwaa la Liverpool watoto wa malikia
 
Rusmus ndo striker chaguo la kwanza hahahh ziaid ya energy ya kukimbia hana kitu kingine anacho offer kwa uwanja hawezi kukaa na mpira hawezi kutembea na mpira kuanguka tu.
Skills za martial angekua nazo huyu dogo labda angekua hatari ila kwa sasa hapana nehie...

Ndo mana sometimes kipara anamuanzisha martial maana pamoja na uvivu wake anaweza kukaa na mpira hata sekunde kumi.
 
wengine hii timu ndio pombe yetu, kahaba wetu, gari yetu ya kutembelea n.k
hata tukishuka daraja panapo majaaliwa utanikuta kwenye hii thread.

tukiamka na mzuka wa kumtukana kocha tutamtukana,
tukiamka na mzuka wa kuwatukana wachezaji tutawatukana.

Brighton shabikia pamoja na hamis77
mchukue na ze-dudu ambaye bado ana hasira ya muarabu kunyimwa timu
tuachieni timu yetu na pira letu kharaaam
 
Tunataka tukuchukue na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…