GGMUManchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha
Prediction
Brighton 1 vs Manchester United 2
4:00 usiku
amex stadium
Last match
Manchester United 1 vs Brighton 2
Brighton wanacho shindana nacho hawakijui hakika kitawaramba.
GGMUView attachment 2609533
Naamini anakuja unitedBarca wanapambana sana na La Liga kuhusu FFP Rules waweze kumsajili bure Messi na kuhusu kupunguza mshahara sources nyingi zinasema Messi hana shida na hilo shida iliyobaki ni kuuza wachezaji, wakuu hamuoni kama tukitia hela pale Barca wanaweza kuwa tempted kumuuza FDJ?
Barca wanapambana sana na La Liga kuhusu FFP Rules waweze kumsajili bure Messi na kuhusu kupunguza mshahara sources nyingi zinasema Messi hana shida na hilo shida iliyobaki ni kuuza wachezaji, wakuu hamuoni kama tukitia hela pale Barca wanaweza kuwa tempted kumuuza FDJ?
Huyo Muani labda iwe option ya kufatia baada ya Osimhen na KaneThere is an internal race between Randal Kolo Muani and Victor Osimhen at #MUFC.
#SkySports
#𝙏𝙧𝙪𝙨𝙩𝙏𝙝𝙚𝙋𝙧𝙤𝙘𝙚𝙨𝙨𝙀𝙏𝙃
#𝙐𝙣𝙞𝙩𝙚𝙙𝙛𝙤𝙧𝙩𝙝𝙚𝙁𝙖𝙣𝙨
#𝙂𝙡𝙖𝙯𝙚𝙧𝙊𝙐𝙏
#𝙂𝙂𝙈𝙐
man utd |View attachment 2610056
Huu uzi mpk leo naona unatrend kuuzwa madukani .