"Mganga uchwara ajirabiria kifo".Manchester United 1 vs Brighton 2
GGMUManchester United inacheza leo na dunia nzima ina furaha [emoji16][emoji16][emoji16]
Prediction
Brighton 1 vs Manchester United 2
[emoji355]
4:00 usiku
[emoji2522]amex stadium
Last match
Manchester United 1 vs Brighton 2
Brighton wanacho shindana nacho hawakijui hakika kitawaramba.
GGMU [emoji83] [emoji83][emoji83]View attachment 2609533
Naamini anakuja unitedBarca wanapambana sana na La Liga kuhusu FFP Rules waweze kumsajili bure Messi na kuhusu kupunguza mshahara sources nyingi zinasema Messi hana shida na hilo shida iliyobaki ni kuuza wachezaji, wakuu hamuoni kama tukitia hela pale Barca wanaweza kuwa tempted kumuuza FDJ?
Barca wanapambana sana na La Liga kuhusu FFP Rules waweze kumsajili bure Messi na kuhusu kupunguza mshahara sources nyingi zinasema Messi hana shida na hilo shida iliyobaki ni kuuza wachezaji, wakuu hamuoni kama tukitia hela pale Barca wanaweza kuwa tempted kumuuza FDJ?
Huyo Muani labda iwe option ya kufatia baada ya Osimhen na KaneThere is an internal race between Randal Kolo Muani and Victor Osimhen at #MUFC.
#SkySports
#๐๐ง๐ช๐จ๐ฉ๐๐๐๐๐ง๐ค๐๐๐จ๐จ๐๐๐[emoji1179][emoji3541]
#๐๐ฃ๐๐ฉ๐๐๐๐ค๐ง๐ฉ๐๐๐๐๐ฃ๐จ[emoji2522]
#๐๐ก๐๐ฏ๐๐ง๐๐๐[emoji469]
#๐๐๐๐[emoji123][emoji41]
man utd |View attachment 2610056