"Control of transfers" inakuwa vipi chini ya mmiliki na sio recruitment department?JUST IN: Sir Jim Ratcliffe’s Ineos bid for a majority stake in #mufc includes a demand for immediate control of transfers from the moment a potential deal is agreed in the coming weeks.
[@Telegraph]
Huyu jamaa akichukua timu matatzo yatabaki pale pale.. timu hii apewe muarab tuuJUST IN: Sir Jim Ratcliffe’s Ineos bid for a majority stake in #mufc includes a demand for immediate control of transfers from the moment a potential deal is agreed in the coming weeks.
[@Telegraph]
Hawa kina Ineos wanataka kutuletea mambo ya kina Boehly."Control of transfers" inakuwa vipi chini ya mmiliki na sio recruitment department?
Ili kuonyesha msuli wetu kwenye suala la manunuzi ya wachezaji,inatakiwa tuwavue barca huyu dogo De Jong. Mwisho wa siku EtH asipopata mafanikio tuliyoyatarajia wakati hatumpatii signings zake tutashindwa kumlaumu kwa uwazi zaidi.Manchester United wanamhitaji zaidi huyu jamaa
Hivi huyu dogo anapenda kwanza kuja kucheza Old Trafford??Manchester United wanamhitaji zaidi huyu jamaa
Hivi huyu dogo anapenda kwanza kuja kucheza Old Trafford??