Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hapa utashangaa kuna watu watamlaumu DM, wakati wachezaji wanacheza ugoro...

Oh yeah, including me. Vinginevyo, utakuwa una-undermine the role of the manager of a football club. Wachezaji wanacheza ugoro kwani manager haoni huo ugoro? Au anauona na kuufumbia macho? DM is not only a coach, but a manager of Man Utd football club. As a manager his responsibilities extend beyond the pitch.

Ana majukumu yanayohusiana na psyche, technical tactical za wachezaji. Anatakiwa kuwa na mahusiano mazuri na wachezaji wake as well as the technical staff. Ndiyo mwenye jukumu la kuchangua wachezaji wa kuwasajili.

Kwa hiyo, as a manager anachangia sana kushinda au kufungwa kwa timu. Maamuzi mabaya ya manager katika kupanga timu, kufanya substitutions, n.k yanachangia sasa matakeo ya mpira. Kwa mfano, subsitution aliyofanya, ndo imechangia kwa kiasi kikubwa kufunga hayo magoli mawili.

Unakumbuka jinsi Ferguson alivyowatumia substitutes vizuri kwenye Champions League final ya mwaka 1999? Kama asingefanya zile substitutions na Man Utd kufungwa unadhani ni nani angelaumiwa?

Of course, sina maana kuwa players should not be responsible. They are also individually and collectively responsible. Mfano, yule beki wa Newcastle aliyesababisha penalty jana dhidi ya Chelsea, kuna commentator mmoja aliishia kusema he should be penalised one week wages. All Arsenal players played yesterday should be collectively responsible for that performance, though the manger also has a significant share of the blame.

Hata hivyo, ninachokiona kwa Man Utd is that most of the players are not DM type of players. Pia inaonekana some players don't think DM is their right manager. DM will need time to build his own team. He will succeed at Utd, but not with these fringe of players. In the coming few years itambidi apige fagio la chuma and bring in his own type of players.
 
Watu wanasema Rooney hana mapenzi na timu...je, wamemwona alivyoshangilia goli la Carrick?

#ElCaptain
 
Don't forget, Mata''s assist to RvP's goal...his 3rd in 3 matches...
 
Dah! Januzaj kapiga, shuti likamgonga Chico...85th min...
 
Mata's shot goes an inch wide...that could have been 3-1...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…