Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahaha mkiingia fainali tutasikia mnavyomsifia Moyes. Na hivi mmeshamnunua Mata basi Moyes atakuwa kama Mungu maana mlikuwa mnalialia hanunui hanunui
 
Hahaha mkiingia fainali tutasikia mnavyomsifia Moyes. Na hivi mmeshamnunua Mata basi Moyes atakuwa kama Mungu maana mlikuwa mnalialia hanunui hanunui

Kama mlivyomwona Arsene Chenga mungu baada ya kuwajambisha na Ozil?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…