Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baada ya,Kumfunga,arsena mkaona mshamaliza ligi mbwaaaaaaa!
 
Yanga-Mbiwa is the Douchebag atasababisha Man Utd kusawazisha.
 
Why MUSA anahangaika na mpirahuku nje? Maajabu eti Nzi
 
Last edited by a moderator:
Too late, amechemsha muda mrefu sana alitakiwa kutoka, kafanya kosa kumtoa Cleverly angemtoa foward mmoja ili kuongeza nguvu kwenye kiungo
washabiki wa MANUREKWA MARA YA KWANZA WANALIA UWANJANI
 
Shida iko kwa hao wachezaji vikongwe mlo nao, hahahahaaaaa!!!!

sio ivo mzee, moyes ata mipango pia mbinu hana, hata kina hull hawapaogop tena trafold, real heri tfungwe ili mbaya wetu moyes atimuliwe, hatna raha sku izi, maisha gani haya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…