Manchester United (Red Devils) | Special Thread

yule bailllyyyyy kafunga goli saf[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyinyi kunguni tayari mshasokomezwa kimoja huko... Tuliwaonya kwamba huo mfumo mnaocheza lazima muwe na beki za kueleweka haya sasa.
ole baada ya kuona nyumbu wanamtaka conte akaona isiwe shda ngoja niuige mfumo wake[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna michezaj ya nyumbu inazurura2 uku uwanjan inatakiwa ifunguliwe mashtaka ya uzururaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…