Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Official: Mike Dean appointed referee for #MUFC's upcoming game against Aston Villa on September 25.

manutd |
#GGMU
 
#OTD in 2019; Former Manchester United midfielder Anderson has retired from football at the age of 31!


manutd |
#GGMU
 
Empty City haiwalipi,kinachowalipa ni hela za mafuta.

Man City ni team ambayo hata mauzo yake ya jersey hayawezi kuifikia Aston Villa.
 
Unaniuliza swali ambalo alipaswa aulizwe Sosha.

Ila wachambuzi wa mambo wana dai 4 2 3 1 timu inakuwa imecover eneo kubwa la uwanja hivyo inakuwa na nafasi ya kuzuia mashambulizi pamoja na kufanya mashambulizi kwa haraka na ufanisi zaidi.
View attachment 1947579
 
Kama ni hivo tungekuwa tushapigwa rungu..!
Sasa unataka kusema Man City huwa nmna mauzo ya jersey makubwa? Kama ni madogo na uwanja hamjazi hela mnatoa wapi tofauti na za mafuta? Maana tofauti na hapo vyanzo vingine vya mapato sio vikubwa kwenu, hata wadhamini mlionao ni wa nyanya tu.
 
Sasa unataka kusema Man City huwa nmna mauzo ya jersey makubwa? Kama ni madogo na uwanja hamjazi hela mnatoa wapi tofauti na za mafuta? Maana tofauti na hapo vyanzo vingine vya mapato sio vikubwa kwenu, hata wadhamini mlionao ni wa nyanya tu.
Acha kujilinganisha na sisi wewe ,kila season tunabeba kombe ,tunamaliza top 2 , high streaming ,...


Una macho ila huoni
 
High streaming za wapi hizo? Acha kutudanganya mkuu
.Pale EPL kuna team imayofatiliwa sana kama Utd? Au unasema streaming gani

Am
High streaming ....


1.liverpool
2.man city
3.
4.
5.
6.






12.man utd


ifike mahali ujue hii timu yenu ishakuwa takataka tu
 
Nimekuja kugundua huyu kocha hana formula yoyote ile uwanjani zaidi ya ile ya kwenye makaratasi.
 
Raphaël Varane: "He’s [Maguire] a great player. On the field, we are still working to get to know each other better. We try to talk so that we can understand each other even better." [tv2]

manutd |
#GGMU
 
Jesse Lingard turned down Manchester United’s first offer of a new contract. Though there are multiple factors at play, the promise of game-time ranks highly. He wants to feature regularly.

manutd |
#GGMU
 
Solskjaer on Elanga: “He was disappointed not to travel down to West Ham [for Sunday’s Premier League game] but he scored for the Under-23s and now he’s ready. He’ll be involved in the squad [tomorrow].”


manutd |
#GGMU
 
Solskjaer: “Alex [Telles] has worked well and will be in the squad [for tomorrow’s game vs West Ham] as well.”

manutd |
#GGMU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…