Manchester United (Red Devils) | Special Thread

What a pass by Cardiff...Evans couldn't anything about it....
 
watoto wa Cardiff wanawapeleka puta Manchester Utd. Rooney alitakiwa kulambishwa kisu.
 
Muwe mnatoa updates kwa kila goli.....

Sasa mnachungulia tu na kugumia maumivu mioyoni.....

Halftime....Cardiff 1 United 2
 
Hana imani Mkuu, refa kameza firimbi baada ya defender kuunawa mpira ndani ya maguu 18 ya mtu mzima mwenye akili timamu, vinginevyo ingekuwa 2-2

Duh! Wewe upo Kitulumbi huko, unaona kuwa pale ni kunawa?!?

Umeona hata mchezaji mmoja wa Cardiff amelalamikia hiyo unayosema penati?

Chifu, mbona unaleta mineno kama ya ku kanga?!?
 
Wee jitie una #makengeza hukuiona ile penalti ya wazi kabisa.

Duh! Wewe upo Kitulumbi huko, unaona kuwa pale ni kunawa?!?

Umeona hata mchezaji mmoja wa Cardiff amelalamikia hiyo unayosema penati?

Chifu, mbona unaleta mineno kama ya ku kanga?!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…