Hii mechi nadhani ntashindwa kuiangalia, link aliyoweka mdau inagoma goma cjui ni device yng.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu hesgoal.comHii mechi nadhani ntashindwa kuiangalia, link aliyoweka mdau inagoma goma cjui ni device yng.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii mechi nadhani ntashindwa kuiangalia, link aliyoweka mdau inagoma goma cjui ni device yng.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hesgoal.comHii mechi nadhani ntashindwa kuiangalia, link aliyoweka mdau inagoma goma cjui ni device yng.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashabiki wa Roma wamewaambia wachezaji wao kuwa wafanye juu chini watufunge..
Yote haya yamekuja baada ya Ole kusema kuwa hajui Roma wanavyocheza i.e hajawafuatilia kwa muda..Roma fans wameona Ole ameidharau Roma na ndo maana wamelipuka.
Tusubirie hilo mbungi saa nne leo.
==========
My Starting XI
==========
De Gea
AWB Lindelof Maguire Shaw
Fred Pogba
Greenwood Fernandes Rashford
Cavani
Nani tena huyo unayetaka afukuzwe ndugu?Bado hajafukuzwa tu
Unai emery hii ndio michuano yake sasa
Villareal bingwa wa europa
Wenzetu mnatoboa au?