Barcelona walimchukuaHujachoka spinning?
Shabiki mwenzako wa united jina limenitoka hua anapredict matokeo na sometimes anaupload interviews au reviews za games zenu unajua kama alipost video ikiwa inaonyesha uchambuzi wa namba atakayocheza Thiago? Na rumours za kuonyesha yupo njiani kuja ngomeni?Reguilon hakuwa prime target ya United ndiyo maana hakusajiliwa united.
Thiago alisema mwenyewe anaenda kwa mwalimu wake Guardiola .
Werner United hawakuwa na shida nae sababu tayari walikuwa na striker mwingine anayecheza similar position na Werner walihitaji back up striker mwenye quality tofauti.
Hahaha ok huu sasa ni ushauri mwingine.Barcelona walimchukua
Alexander Hleb na Alexander Song.
United wakamchukua Robin Van Persie
Yote hiyo ni kwa sababu ya udogo wa Arsenal.
Ni fedheha kwa mchezaji mkubwa kumaliza career yake Arsenal
Siyo jukumu langu kutaja vitimu vidogo vidogo kama Arsenal vs Man united vitaje weweShabiki mwenzako wa united jina limenitoka hua anapredict matokeo na sometimes anaupload interviews au reviews za games zenu unajua kama alipost video ikiwa inaonyesha uchambuzi wa namba atakayocheza Thiago? Na rumours za kuonyesha yupo njiani kuja ngomeni?
Reguilon hakua prime target? Kweli?
Werner ni ST so kwavile Ighalo yupo mkaona Werner hafai?
Mi nipo Tz saa hii ni saa 6 kucheka kwa nguvu ni ishu kidogo.
Haya tuchukulie ulichoandika ni kweli. Address ishu ya pili, taja timu mlizogombea nazo wachezaji.
Rashford hana kiwango cha kuchezea timu iliyo serious na kutafuta makombe. Timu inayomfaa ni ambayo inajua kabisa itakazana kufika nusu fainali itatolewa kisha maisha mengine yataendelea.Turudi kwa Rashford kama angekuwa timu ndogo kama Arsenal angekuwa alishaondoka muda mrefu tu.
Arsenal ilishanyang'anywa kikosi kizima na Man city na United na Barcelona zikanunua wachezaji wenu muhimu wawili, hata Rashford angekuwa Arsenal hakuna timu ingeshindwa kumnunua angeshaondoka zamani lakini hawezi kuondoka kwa sababu club aliyopo anapata kila kitu anachokihitaji.
Ni fedheha kwa mchezaji kariba ya Rashford kucheza timu ndogo kama Arsenal asingekubali abadani
Lakini kuwa United ni legacy kubwa sana kwake hadi Borris Johnson anamsikiliza dogo Rashford.
Beckham aliuzwa kwa sababu hakuhitajika tena kwa Ferguson kwa sababu za ugomvi wao.Hahaha ok huu sasa ni ushauri mwingine.
Fungua akaunti ya komedi youtube upige pesa.
Cristiano Ronaldo kamalizia career yake united?
Beckham kamalizia career yake united?
Na hao ndiyo wachezaji pekee wa united ambao wanaweza kupata namba kikosi chochote duniani.
Umesema "Rashford kwako wewe"Rashford hana kiwango cha kuchezea timu iliyo serious na kutafuta makombe. Timu inayomfaa ni ambayo inajua kabisa itakazana kufika nusu fainali itatolewa kisha maisha mengine yataendelea.
Rashford kwangu mimi ni mchezaji anayebebwa na utaifa wake nje ya hapo ni average player ambaye anaweza akacheza vizuri mechi moja kisha nne zinazofuata akawa hovyo. Haya maoni wanayo makocha wa dunia nzima ndiyo maana hakuna anayemtaka.
Kwa ubovu wake imebidi afanye ishu za kijamii ili awin public sympathy in turn hata akiwekwa benchi watu waone anastahili kucheza siyo kwakua ana kiwango ila kutokana na kugawa ubwabwa kama Rungwe.
Haya sasa kafungue akaunti ya Youtube upige pesa za kutosha mpaka korona ikiisha uwe na hela nyingi ukaangalie mechi ngomeni umuone mchezaji wa level ya dunia rashford akitupia migoliSiyo jukumu langu kutaja vitimu vidogo vidogo kama Arsenal vs Man united vitaje wewe
Halafu dogo unanipotezea muda wa kujadili mambo makubwa ya Club kubwa ya Man United hebu rudisha hizo stress zako huko kwenye relegation zoneBeckham aliuzwa kwa sababu hakuhitajika tena kwa Ferguson kwa sababu za ugomvi wao.
Christiano Ronaldo alishinda kila kitu ngazi ya vilabu akiwa United hakuwa na cha kupoteza kuondoka united
Ndiyo maana kwenye list ya Legends wa club Christiano Ronaldo yupo.
Alitoka Club kubwa kwenda club kubwa nyingine.
Hujiulizi kwanini hakuenda timu ndogo kama Arsenal ?
Mimi hela ninazo nilishavuka level ya kutafuta hela kwa You tube videos hebu kuwa na adabu tafadhaliHaya sasa kafungue akaunti ya Youtube upige pesa za kutosha mpaka korona ikiisha uwe na hela nyingi ukaangalie mechi ngomeni umuone mchezaji wa level ya dunia rashford akitupia migoli
😆😆😆Nani anamtaka mgawa ubwabwa kwenye timu yake? Hahaha eti 'Acha kujipa matumaini hewa' watu tunawaza trophies halafu tumuweke mbele baba ntilie? Ningekua nashabikia united ingekua naitemea mate tv kila asubuhi na jioni mpaka atakapoondoka huyo bwana Rungwe.Umesema "Rashford kwako wewe"
Hawezi kuja kwenye timu ndogo kama hiyo yenu dogo.
Acha kujipa matumaini hewa.
😂😂😂😂Unapigwa fact hadi unapata kizunguzungu unajiquote mwenyewe. Muombe rashford ubwabwaHalafu dogo unanipotezea muda wa kujadili mambo makubwa ya Club kubwa ya Man United hebu rudisha hizo stress zako huko kwenye relegation zone
Doh kama hivyo kweli nisamehe bro sema nini ilikua poa sana kusoma komedi zako sikutarajia kucheka kiasi hichiMimi hela ninazo nilishavuka level ya kutafuta hela kwa You tube videos hebu kuwa na adabu tafadhali
Mfano haujui kwamba pamoja na huo ukubwa unaoudai dirisha lililopita mlimtaka Reguilon badala yake akaenda Spurs unayoiita ndogo. Mmemtaka Thiago akaenda Liva, Sancho timu kubwa nyie mkashindwa bei, Haaland timu kubwa nyie mkashindwa, Werner timu kubwa nyie mkashindwa akaenda timu ndogo Chelsea.
Mimi nilisema hizi deals zilifeli.
- reguilon : madrid waliweka kipengele cha kumnunua tena kwa kiwango fulani cha pesa endapo watamuhitaji tena siku za mbeleni kama walivyowafanyia juventus kwenye usajili wa alvaro moratta. Hiyo ilikuwa ni moja ya sababu iliopelekea kushindwa kuafikiana kwa pande mbili hizo, tottenham hotspurs wamekubaliana na kipengele hicho, kama nitakuwa sahihi spurs watafaidika kwa takribani paundi millioni 15 kama madrid watamsajili tena reguilon (baadhi ya vyanzo wameandika wamemnunua kwa 27 na watamuuza kwa 40 bila ya kujali mwaka husika)
- haaland: changamoto ya kwanza ilikuwa ni kipengele cha release clause ambacho wakala wake alitaka kiwepo kama alivyowafanyia dortmund, pia wakala wake alitaka kuvuna hela nyingi.
- sancho: CEO anayejielewa hawezi kuendeshwa na presha ya michael zorc, borussia walihitaji kuvuna hela nyingi sana kupitia kwa sancho kama walivyofanya kwa dembele miaka michache nyuma
- werner: sidhani kama klabu ilimuhitaji, nakumbuka klopp ndiye aliyemuhitaji zaidi ila COVID ikaharibu mipango yake
Wewe jamaa uko na ujinga mwingi sana..Mimi nilisema hizi deals zilifeli.
Chief umekuja tu kuconfirm kwamba deals zilifeli. Timu kubwa ikawa haina ushawishi wala negotiation edge ya kudemand clauses kulegezwa au kuondolewa kabisa.
So sioni kama nina cha kuongeza.
Kwa faida ya wote, tutajie timu mlizokua mnachuana nazo kutafuta saini ya Ighalo, Cavani,Amad, Pellistr na Bruno.
Unafikiri ukitukana ndiyo utaonekana unajua😆😆? Ungeweza andika aya ya pili bila aya ya kwanza.Wewe jamaa uko na ujinga mwingi sana..
Sasa Cavani,Ighalo,Amad na Pellistri hizo ni sajili zetu za kueleweka au ni backups tu na for future use(Amad+Pellistri)?
Bruno na VdB wote walikuwa kwenye radar za Barcelona.Unafikiri ukitukana ndiyo utaonekana unajua? Ungeweza andika aya ya pili bila aya ya kwanza.
Ungekua upo sahihi zaidi baada ya hapo ukazitaja timu ambazo zilimtaka Bruno na Van De Beek. Ungeweza sema kua hao wengine ni back up na long term ila kwa Bruno na Donny Namungo, Sigara na KMC zilikua zinawataka united tukawin saini zao
Lete link.Bruno na VdB wote walikuwa kwenye radar za Barcelona.