Tunahitaji kiungo wa kudrive timu mbele,kucreate na mwenye spidi pia hapo katikati..Nimemcheki VdB naona kwa timu yetu hatakuwa na mchango mkubwa..mimi nilichokuwa natarajia kutoka kwake ni kuwa hata kama Pogba na Fernandes hawapo kwenye timu yeye aweze kufanya kazi wanayofanya hata kwa asilimia fulani,kitu ambacho hajaweza kufanya..
Kumpa muda ni jambo jema,lakini analysis inabidi ifanyike mapema kama anaweza kwenda sehemu nyingine ambapo ataweza kushine why not?