Beki hawahawa mbona ulichomoa kwa mbinde sana OT??View attachment 1324973
Kwa beki hizi zinazopinduliwa hivi mkuu wangu siku hiyo nahisi naweza kukuchapa goli kikapu.
Nilichomoa goli ambalo halikutakiwa kuwa goli mkuu maana tuliona alichofanyiwa Origi kwenye build up ya goli lile lakini refa akagawa mbeleko kwenu.Beki hawahawa mbona ulichomoa kwa mbinde sana OT??
Itakuwa ni AIBU,Itakuwa ni FEDHEHA kubwa kuchukua EPL Title bila kuwatungua hawa Vilema wa wasio na mbele wala nyuma this time tena ANFIELD.Hakuna Excuse yoyote ile ya kuwaacha hawa Tuna timu bora tuna wachezaji bora tuna Manager bora kuliko wao kwa ufupi sisi ni bora kwenye kila Department kuliko hawa Wamatubwi.HAWATOKI.Ubingwa hauna radha kama hatutawafunga.
Fabinho karudi, Matip yuko okay.
Just get ready for the show
Sawa basi tutaona jumapili..Nilichomoa goli ambalo halikutakiwa kuwa goli mkuu maana tuliona alichofanyiwa Origi kwenye build up ya goli lile lakini refa akagawa mbeleko kwenu.
Nilicheki gemu ya Spurs vs Liverpool..kama Liver watacheza vile kama walivyocheza na Spurs, na wachezaji wetu wakaongeza bidii kidogo,liva wanaweza wasiamini kitakachotokea..
Mimi huwa na hofu sana ninapocheza na Man City,Lakini huyu Liver huwa hawanipi pressure..
Nilicheki gemu ya Spurs vs Liverpool..kama Liver watacheza vile kama walivyocheza na Spurs, na wachezaji wetu wakaongeza bidii kidogo,liva wanaweza wasiamini kitakachotokea..
Mimi huwa na hofu sana ninapocheza na Man City,Lakini huyu Liver huwa hawanipi pressure..
Hata wababe wa Chenga akina Dinho na Zizou wanapigika chenga vizuri tu ataewauliza lazima watamjibu hivyo huwa hamna mtabe mbele ya kulambwa chengaHii ndio sababu VVD atafurahi atakapojua Rashford hawezi kucheza mechi ijayo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii kauli ya Kibabe sana, kwamba Bruno Fernandez ni sawa na watu watatu waliounganishwa...Sporting CP meager on Bruno Fernandes and if he will play on Friday
Only disaster will stop Bruno from playing derby against Benfica
To replace Bruno, you need 3 players, the one who will score goals, the one who will organise and the one who will defend like him
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wababe wa Chenga akina Dinho na Zizou wanapigika chenga vizuri tu ataewauliza lazima watamjibu hivyo huwa hamna mtabe mbele ya kulambwa chenga
Sent using Jamii Forums mobile app
Mechi ya kwa pale OT VAR ilikuwa upande upi?Kama wakicheza kama walivyocheza na Spurs
Kama tukiongeza bidii
Na kama VAR itakuwa kwa ajili ya pande zote mbili
Ukweli ndio huo, City ni tishio zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah Nimesikitika sana Rashford kupata injury I hope haotakuwa serious injury.Hatujitaji Excuse ya aina yoyote ile kutoka kwenu.
Naona kama siku haziendi hahahahahahahahah Ukiwa na timu bora Duniani raha sanaaaa.
Who is Next ???????Mjiandae kisaikolojia.
Itakuwa ni AIBU,Itakuwa ni FEDHEHA kubwa kuchukua EPL Title bila kuwatungua hawa Vilema wa wasio na mbele wala nyuma this time tena ANFIELD.Hakuna Excuse yoyote ile ya kuwaacha hawa Tuna timu bora tuna wachezaji bora tuna Manager bora kuliko wao kwa ufupi sisi ni bora kwenye kila Department kuliko hawa Wamatubwi.HAWATOKI.
Una siku 2 tu Kesho na kesho kutwa za kupiga porojo zako na kujishauwa na kujishebeduwa humu kwa hiyo zitumie vizuri hizi siku 2, Ijumapili utakuwa na wakaati mgumu sana.Kitu kinaweza kuwapa ushindi nyie wazee wa lopolopo livakuku ni kwenye kiungo tu namkosa jemedali wangu scott na rashford bila hivyo vile vi trent na ka robatisoni vingelala na viatu kwa james na rashford usingeviona vikipanda kupiga mitungi vikipanda kupiga mitungu yule bek wenu mzito analamba mchanga fitness ya rash ni muhimu sana mnabahat sana nyie tumecheza hapo kwenu na fellain bado tumewafumua na huyo kocha wenu bora