Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah Nimesikitika sana Rashford kupata injury I hope haotakuwa serious injury.Hatujitaji Excuse ya aina yoyote ile kutoka kwenu.
Naona kama siku haziendi hahahahahahahahah Ukiwa na timu bora Duniani raha sanaaaa.
Who is Next ???????Mjiandae kisaikolojia.
 
Wewe unatamani awepo ila VVD atakuwa amefurahi Rashy kuumia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilicheki gemu ya Spurs vs Liverpool..kama Liver watacheza vile kama walivyocheza na Spurs, na wachezaji wetu wakaongeza bidii kidogo,liva wanaweza wasiamini kitakachotokea..

Mimi huwa na hofu sana ninapocheza na Man City,Lakini huyu Liver huwa hawanipi pressure..
 
Your browser is not able to display this video.










Kwa beki hizi zinazopinduliwa hivi mkuu wangu siku hiyo nahisi naweza kukuchapa goli kikapu. 😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…