Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kwa tokea nianze kufatilia Mpira (EPL era) sijawahi kuona mchezaji aliyetokea Nje ya Ligi ya Ulaya kubeba BD, kama yupo nisahihishe.
Mzee una kichwa kigumu sana, nimekwambia kipindi anashinda owen tuzo ilikuwa inagombaniwa na wachezaji wanaocheza soka ulaya tu, baade BD walijiunga na fifa ikawa inagombaniwa na wachezaji wanaocheza soka duniani kote kabla ya kutengana tena na fifa kuanzisha zao, BD kuchukuliwa na wachezaji wanaocheza ulaya tu haimaanishi haikuwa inagombewa na wachezaji wanaocheza mabara mengine
 
Kilio cha Mourinho siku zote akiwa Man Utd ndio hicho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…