Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Simion anajua kuhandle pressure zake binafs pamoja na wachezaji wake sion kama wanafanana na Mou mtu mwenye ego.
Kaka nakwambia simion sio type ya manchester united sawa na mchana umekula ugali maharage usiku unakula wali maharage
 
Jirani zangu kuna kitu hamjakijuw, team yenu ni mbovu sana. Tatizo siyo kocha. Huyu ni kocha wa 3 kama siyo 4. Na mnaendelea kuwalaumu makocha.
Ngoja tuone mkuu ila binafsi naamini ulikuwa unahitajika uwekezaj wa maana sio kocha tu bado mambo ni mengi spurs anasimama kwa sasa wana kocha yupo toka 2013
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…