Manchester United (Red Devils) | Special Thread

HAHAHAAAA

Ant-mourinho hali walionayo saiz
Ukisikiliza uchambuzi wa wabongo khs Mourinho unaweza sema rwandamina ana nafuu.

Laiti hiyo midomo yao ingekua ni ufumbuzi wa matatizo basi Taifa starts ingekua inajiandaa kwenda kwy fainali za kombe la dunia.

Hakika kwy miti mingi hakuna wahunzi na miruzi mingi humpoteza dogi
 
Natamani kumuona huyu dogo maana anapewa sifa sana sijawahi kumuona akicheza ingawa nilitegemea apande kikosi cha wakubwa kutokana na sifa zake ninazosikia.
 
Natamani kumuona huyu dogo maana anapewa sifa sana sijawahi kumuona akicheza ingawa nilitegemea apande kikosi cha wakubwa kutokana na sifa zake ninazosikia.
Gemu ya mwisho alicheza na crystal palace walibadilishana na rooney dogo yupo vizur sana mkuu alijitahid kwa ule Muda aliongia drible na pasi zake zilikuwa safi
 
Wazee wa kuuza Jezi mbona kimya jamani hatusikii mpaka sasa mmeshauza copy ngazi za Sanchez hahahahaha ya Pogba ilikuwa masaa 24 tu hii vipi
 
Kuna uwezekano kwamba Arsenal na Alexis Sanchez wakafunguliwa mashtaka na FA baada ya Sanchez kukosa vipimo vya kama anatumia madawa ya kulevya vilivyo fanyika siku aliyojiunga na Man United.

Kutokana na taarifa walizotoa The Sun ni kwamba kwa sasa Shirika la Kupinga utumiaji wa dawa za kulevya la Uingereza linachunguza madai ya Arsenal ya kushindwa kuwaambia FA kuwa mchezaji huyo hakuwepo mazoezini siku ya Jumatatu.

Shirika hilo la FA walienda katika uwanja wa mazoezi wa Arsenal na Sanchez alikuwa katika orodha ya majina ya wachezaji ambao wanatakiwa kufanyiwa vipimo.
Lakini Arsenal wao wanatakiwa kuwajulisha FA juu ya mabadiliko yoyote kwenye ratiba zao za mazoezi kila siku inasemekana kuwa walipuuza kutokuwepo kwa Sanchez katika siku hiyo.

Sanchez hatozuiwa kucheza mechi yake ya kwanza Manchester United dhidi ya Yeovil katika Kombe la FA usiku wa leo. Arsenal watakumbwa na mashtaka kama FA hawatokubali maelezo yao kwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…