OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,933
- 25,245
Wewe kama Stoke city alikutoa jasho. .Tottenham utamweza kweli? Mkuu usiangalie historia, kwa sasa haina nafasi ..kikosi cha spurs kipo imara kuliko hicho cha liver unachokiogopa. Me nakuhakikishia kikosi cha man u bado hakijiamini kabisa.Mkuu una roho ngumu sana spurs old traford kwetu ni uji na mgonjwa hutaamini hapo mgumu narudia mkubwa mwenzangu liverpool ila hizo zingine sio kwamba siziheshimu naziheshimu vizur sana matokeo yanaweza kubadilika tofaut na mtazamo wangu.
Wewe kama Stoke city alikutoa jasho. .Tottenham utamweza kweli? Mkuu usiangalie historia, kwa sasa haina nafasi ..kikosi cha spurs kipo imara kuliko hicho cha liver unachokiogopa. Me nakuhakikishia kikosi cha man u bado hakijiamini kabisa.
Mjiandae Kisaikolojia
Wewe kama Stoke city alikutoa jasho. .Tottenham utamweza kweli? Mkuu usiangalie historia, kwa sasa haina nafasi ..kikosi cha spurs kipo imara kuliko hicho cha liver unachokiogopa. Me nakuhakikishia kikosi cha man u bado hakijiamini kabisa.
Hesabu kimya kimya mechi za ligi mmedundwa ngapi hapo ukiacha huo ushindi wa ueropaMjiandae Kisaikolojia
acha kukaliliMsimu uliopita Spurs aliondoka OT akiwa na shot ontarget moja. Msimu huu hapati ata hiyo moja.
Unakumbuka tulimpiga ngapi?
Sio kukariri hua ipo hivyo au ulitaka kusikia jibu unalolipendaacha kukalili
Hata mm sina hakika kwa kweli... Ila nna imani na team, rashford anacheza nafasi ya Lukaku vzr tu
sawa mkuu ila ujumbe umefikaKukalili = kukariri.
Mlienda shule kusomea ujinga?
Kipo imara kina point ngapi hadi sasa na kipo nafasi ya ngapi?Wewe kama Stoke city alikutoa jasho. .Tottenham utamweza kweli? Mkuu usiangalie historia, kwa sasa haina nafasi ..kikosi cha spurs kipo imara kuliko hicho cha liver unachokiogopa. Me nakuhakikishia kikosi cha man u bado hakijiamini kabisa.
Sawa hakijiamini kimepataje ptn 19 na goli 19? huyo tote aliye imara na anayejiamin kwann ana ptn chache wakati yuko imara? Ko ww una aamin kikosi chako cha man cty ndo kiko imara zaid kuliko Man United?Wewe kama Stoke city alikutoa jasho. .Tottenham utamweza kweli? Mkuu usiangalie historia, kwa sasa haina nafasi ..kikosi cha spurs kipo imara kuliko hicho cha liver unachokiogopa. Me nakuhakikishia kikosi cha man u bado hakijiamini kabisa.
Na ww acha kukaririacha kukalili