Katika Moja ya Match ambayo ukiwa kama shabiki wa Man U hutakiwi kuikosa ni Match hii ya leo Barca Vs Man United.
Hizi match zinatupatia nafasi ya kufahamu uwezo wa wachezaji wetu mmoja mmoja,mana zinachukuliwa kama sehemu ya maandalizi;hivyo wachezaji wanakuwa huru na wanatakiwa kuonyesha uwezo wao mana Makocha huwaangalia wakati wa kutafuta combination.
Tunaona uwezo wa Lingard,kiwango cha Rashford,ubovu wa Lendorf n.k
Sent using
Jamii Forums mobile app