nimependa sana movement za dogo rashford...kwa hakika atakua a very useful back up striker in our team, aongeze umakini kidogo tu coz nimeona hapa kakosa goli akiwa kabaki na kipa tu, the good thing he netted other 2 goals

hapa sasa nasubiri mou atuletee a very solid DM akiongezea na wing forward mmoja sio mbaya...wenzetu pia naona wanasajili vizuri ligi ikianza msimu huu nadhan moto utawaka

Nashauri lukaku asichezeshwe asubirie mechi ijayo,,
Kuna weza kukawa na utofauti wa ufungaji wa magoli watu wakaanza kukompare rashford na lukaku kwenye ufungaji na chance walizopata na ikamletea kutojiamini akiwa anacheza afadhali asubirie aanze mechi ijayo ndo tumuone yeye anafanya nn.