Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Leo sina amani kabisa..hiki kikosi hapana..

Tusubiri,kocha anajua zaidi!
 
Jamani tusilaumu sana wachezaji nao wanachoka maana ratiba haijakaa poa kwa upande wetu kikumbwa tuwaombee tu naamini tutashida Leo GGM
 
Jamani huku kuna mvua dstv inakatakata kinoma muwe mnatupa update hapa plz
 
Rashford baada ya kakosa bao akabakia kwenye nyavu hivyo Mata angefunga sijui ingelikuwa offside na Rashford yuko nje ya uwanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…