Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mata aliingia baada ya Rashford na umiliki Wa mpira Wa Manutd ukapanda ghafla hawa young turks wana mengi ya kujifunza
 
Aiseee hawa blakban walikua wanataka kutukazia
Morinho kaona isiwe kesi ngoja nimuweke ibra kadabra ...
kama kawaida hua hapendi masihara akiwa eneo la 18
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…