Manchester United (Red Devils) | Special Thread

View attachment 424800

Jamaa inaelekea hatosahau hii results last week. Hapa ni katika mechi vs Man City masaa machache yaliyopita. Inaelekea anawakumbusha wachezaji wake juu ya kilichowatokea.
That was baada ya match na City, na alikua ana apologize kwa Utd fans kuhusu 4-0 iliyopita..
Hajazoea ku loose, especially for such number of goals..
 
Good morning all manchester United fans and other things.
Good morning !!! Kaka mbona Leo daftari la wageni halijasiniwa kuna tatizo kwenye nyumba yetu mhhhhhhhh!! Wageni hamna???.... ubwabwa hamna E eeeh?........ kawaite waje waambie leo siyo msiba ni sherehe waje watupongeze basi,waambie wasisahu neno linasema cheka na wanaocheka,na lia na waliao
........... Mimi nimefurahi tu jinsi walivyoweka
kwamba tunakufa tena stooori yooooooteeeeee subirini jumatano jamaniii eeeeehhhh jumatano ishafika na Leo Alhamis au mnajifanya hamjui? ......_#fitinazasokaraha_
 
Kuna mmoja alisema tutakuwa 'hammered' na man city kumbe kasahau yeye ndio alikuwa anakabiliwa na hammers na amekuwa 'hammered' !!!!
 
Tukicheka hauwaoni..........ila tukiwa na msiba hao.....na siyo kutufariji bali kutukejeli.
 
Mbona unajitekenya na kujichekesha mwenyewe, post yako ilikua inamuhusu mou alafu we unaleta habari za S. A. F,
SAF walisema alikuwa anahonga marefa mara alikuwa anawatisha marefa lini walikubali? mwaka anaondoka alichukua kombe na bado wakasema timu mbovu imechukua ubingwa hawa inabidi tuwazoee tu hakuna namna ukubwa wa united unawaguza sana nimekumbuka mpaka ule msemo "ferge time "
 
Tukicheka hauwaoni..........ila tukiwa na msiba hao.....na siyo kutufariji bali kutukejeli.
Ni wale makauzu wachache ndio utawaona ila pana wengine waungwana huja na kutoa pole za dhati wengi wao hata tukishinda wenyewe huponda tu mara tumebahatisha mara tumebebwa hawawi sawa hata siku moja.
 
Kuna mmoja alisema tutakuwa 'hammered' na man city kumbe kasahau yeye ndio alikuwa anakabiliwa na hammers na amekuwa 'hammered' !!!!
Tena unakuta nyundo yenyewe ina kutu na huku kwa kung'olea misumali kuna mapengo wacha mchezo.
 
Bora uweke Hakiba na sio Akiba.

Mkuu usicheke! Mimi ni Mzanzibari Kwahiyo Tometofautiana Lahaja Zetu Kwani Utofauti Wa Baadhi Ya Maneno ↓↓

Mfano: Bongo v/s Zanzibar
Akiba → Hakiba
Labda → Rabda
Hovyo → Ovyo
Haujui → Hujui
Tangea Jana → Tokea Jana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…