naomba kuelimishwa hivi Goal.com wanachapisha nakala kwa Kiswahili? Nimeona article juu ya Giggs iliyoandikwa kwa Kiswahili. Hapo utaona Yahoo.com imeikopi toka Goal.com. Nieleweshini.
https://www.yahoo.com/sports/news/giggs-united-ilikurupuka-kumnunua-fellaini-131117331.html
Interest yako hapa sio kujua kuwa Goal.com wanachapisha Kiswahili. Hapa ulitaka kutuonesha hio habari 'Man Utd walikurupuka kumnunua Fellaini. Umeeleweka endelea kusaga sumu.naomba kuelimishwa hivi Goal.com wanachapisha nakala kwa Kiswahili? Nimeona article juu ya Giggs iliyoandikwa kwa Kiswahili. Hapo utaona Yahoo.com imeikopi toka Goal.com. Nieleweshini.
https://www.yahoo.com/sports/news/giggs-united-ilikurupuka-kumnunua-fellaini-131117331.html
1800 EATMechi saa ngapi wakuu.
Leoo lazima daraja tulibomoeee
Thanks1800 EAT