El Capitano De La Romahappy 40th birthday to one and only, the emperor of Rome FRANCESCO TOTTI,
No Totti,No party
Jamaa hajielewii... Ngoja tumnyooshe kwa mara nyingne tenanaona unawehuka vibaya sana chelsea ndo unapanic hivyo kumbe we ni shabik maandaz liverpool kamfunga manchester united game ngap epl? van gal kaipiga liverpool game zote za epl kwako na old trafod huo ubabe umeutoa wap? arsenal umemfunga unafaham majeruh aliokuwa nao na unabahat muda ungeongezeka na ubovu ule wa arsenal alikuwa anakufumua rooney game ya mwisho epl kampiga clop pale anfield uwe na akiba ya maneno wewe huyo mane alikuwepo suton aliwah kuisumbua man? unabamizwa na van gal halafu unakuja kuleta yowe
Yaan unachojuaa ni hicho tuu.... Na huenda umemtaja pogba mara nyingi zaid kuliko unavyoitaja Liverpool maana pogba anakupa homaEuropa Legue Je Van Gaal Kamfunga Liverpool Mechi Ngapi??
Unachojua wewe ni Personal Attack dhini Ya Mashabiki Wa Liverpool na si Jengine.
Haya Maneno Yako Yatunze Mpaka Tarehe 17/10 ili uyashuhudie Kama Yale Yaliyomtokea SAF ndani Ya OT Siku Ya Jumamosi March 14, 2009.
Heroes Walikuwa:-
1) Torres
2) Gerrald
3) Aurelio
4) Dosena
Sasa Kama Hawa Ni Genge La Wahuni! Basi Jiandae Tena Kukumbana na Wahuni.
Huyo Man u inamuwasha hasa pogbaLiverpool special thread hakuna humu jf??
Mbona kutwa kucha upo humu
Analeta..mambo..ya..historia...pamoja...na...kutufunga..hizo..nne..muulize...nani...alikuwa..champion..!!Yaan unachojuaa ni hicho tuu.... Na huenda umemtaja pogba mara nyingi zaid kuliko unavyoitaja Liverpool maana pogba anakupa homa
hivi uwa hawavaagi naniliu...mbona hapo kati.....duh
hivi uwa hawavaagi naniliu...mbona hapo kati.....duh
sasa wakikimbia hawapati usumbufu..........afu naona hakuna small size zote ni big size.Ahaha ni kawaida ata wakivaa. Mpe Mr wako bukta havae halafu umuangalie.
Ahahaa ni kawaida uwezi kupata usumbufu,hivi kuna small size?sasa wakikimbia hawapati usumbufu..........afu naona hakuna small size zote ni big size.
hulalaaaa
aisee jukwaa la mpira hili......teh teh tehAhahaa ni kawaida uwezi kupata usumbufu,hivi kuna small size?
Mungu aibariki timu yetu......ushindi wa kishindo upatikane.baade tukutane OT.
Mungu aibariki timu yetu......ushindi wa kishindo upatikane.
amenInshaaallaahh,leo lazima tumuadhibu kama mtoto mdogo.