Herrera na Matta wapo vizuri. Sikujua kama Matta anawezakuzungusha 10 vizuri. Namuonea huruma captan wetu. Maana kama hawa wawili wataendelea kucheza vizuri, itakuwa vigumu kwake kupata nafasi.