Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
saa moja na nusu jionigame sa ngp
1930hrs EAT.game sa ngp
Martial ni kati ya wachezaji ambao nawakubali Man U ila kwa sasa dah sijui mwenendo wake wa kifunga magoli....natamani atupie na yeye.Mourinho na Speech zake,
Ukimsikiliza kama unahasira naye unaweza kuvunja mkono kwa kugonga ngumi ukutani. Ukimsikiliza huku ukitaka kuelewa, Utaelewa... lakini huku umechukia!!! Anakuelewesha huku amekudharau fulani hivi, kifupi NI JEURI.
Hebu soma speech kumuhusu Sweinsteger, Rushford na Martial..!!! Anakuambia "Nilidhani wanavyotoa comment kumuunga mkono Swein (Buyern) basi wangerudi haraka sana Man U kumchua...!!!!.
Martial.... Kulikuwa hakuna point tatu bila goli la Martial, lakini sasa hakuna goli la Martial na Ushindi wa Mechi tatu mfululizo.. Wachezaji wengine Wanafunga...!!! Nadhani atakuwa na Msimu wa kawaida, Ila Msimu wa kawaida kwake ni Msimu mzuri kwa wengine (Wasiojua) Na hapa ni sahihi kusema atakuwa na Msimu mzuri...!!!
Hili jamaa ndiomaana Wenger halali, anatetemeka kila anapoona jina lake. Yaani ni Jeuri, Kiburi, linamidharau ya kuzaliwa. Na hii ndo United dadeki.. Hebu leteni hao chura wanaoitwa Tiger...!!!
BACK TANGANYIKA
Three games into the season...i guess its too early to judge......Martial ni kati ya wachezaji ambao nawakubali Man U ila kwa sasa dah sijui mwenendo wake wa kifunga magoli....natamani atupie na yeye.
You might be right.....lets wait......Three games into the season...i guess its too early to judge......
Martial ni kati ya wachezaji ambao nawakubali Man U ila kwa sasa dah sijui mwenendo wake wa kifunga magoli....natamani atupie na yeye.
Nashukuru kwa maelekezo mazuri....ngoja nimpe muda.Bado sister,
Mpe muda, kama ukimtazama vizuri anacheza safi sana. Sema kufunga tu ndo hajapata bahati hiyo, Ni kama alivyosema Mou, Kijana alikuwa wa mwisho (Ukiondoa Pogba) kujiunga kambini na wenzake, hajapata muda wa kutosha kusomana na wenzake. Hapo awali Rooney alikuwa anamsaidia sana Martial lakini saizi yeye ndo mwenye jukumu la kumsaidia Ibra. Ko kinamna fulani utaona kama amepunguziwa mzigo fulani ilhali kiwango chake kiko palepale.
Naamini akifunga mara moja tu, Milango ya ufungaji itafunguka na kumrudisha kwenye Mood yake.
BACK TANGANYIKA