Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunawataka Bara sasa, nasikia Fat Arses fans wametuendea haid kwa Bbu 'loliondo' ili tukutane na wababe wao next round tuwasaidie kulipiza kizazi, msijali vijana, will do tht HITMAN job for you fellas.
Go United!
 
Hii mechi dakika za mwisho karibia nizime tv, maana pressure ilikuwa inapanda balaa.
 
Watani zetu sijawaona kabisa nadhani wameenda loliondo kwa babu kushusha presha zao
 
kwa kweli hali ilikuwa mbaya yani wes brown haaminiki kabisaaaaa
Wes Brown nishamzoea maana jamaa anaongoza kwa kujifunga,. Ebanae Rooney kacheza vizuri leo I think jamaa anaweza kuwa perfect replacement ya Scholes.

Wachezaji wetu mbona wanahumia sana? Physios inabidi waangalie nini kinachoendelea uko Carrington.
 

JAVIER HERNANDEZ made sure the French did a runner from Old Trafford as Manchester United stayed on the Treble glory trail.

The man known as Chicharito - 'Little Pea' - made Marseille choke on their petit pois with a deadly double at Old Trafford.
Wes Brown's late own goal gave the visitors hope but boss Alex Ferguson was soon celebrating his 100th Champions League victory as United booked their place in the quarter-finals.
 
Wes Brown nishamzoea maana jamaa anaongoza kwa kujifunga,. Ebanae Rooney kacheza vizuri leo I think jamaa anaweza kuwa perfect replacement ya Scholes.

Wachezaji wetu mbona wanahumia sana? Physios inabidi waangalie nini kinachoendelea uko Carrington.

Rooney kapiga bonge la mechi kwa kweli yani ferg inabidi aanze kumpanga namba 8
 
April ni mwezi muhimu sana kwetu..

2nd – West Ham (A) – Jamaa wako kwenye form sana siku hizi plus uwa wanatusumbua sana especially kwenye mechi muhimu.
5th/6th – UCL QF (A/H) – ??? Naomba tucheze na Shalke.
9th – Fulham (H) –
12th/13th – UCL QF (H/A) – ???
16th – FA Cup Semi – Tunacheza na mahasimu wetu, mechi muhimu sana hii kuliko ata hiyo ya UEFA.
 
kwa kweli hali ilikuwa mbaya yani wes brown haaminiki kabisaaaaa

....dogo huwa namuonea huruma sana huyu. He's got potential hata ya kuchezea England, ila ana gundu la kufanya makosa makubwa! kama sio kujifunga, Red Card!...apart from that, he's such a nice block. Hana maskendeli ya kijinga.

Watani zetu sijawaona kabisa nadhani wameenda loliondo kwa babu kushusha presha zao

...tupo bana, kila mtu na style yake ya kuomboleza kwa jinsi msiba ulivyompiga, hebu tuache! ha ha ha...


...shabaaaashh!

Sometime huwa najiuliza hawa UEFA lile kapu la bahati nasibu, lina 'abracadabra' English teams Vs Barcelona?
Nahisi jinamizi la kupangiwa Barcelona, Spurs au Chelsea linawanyemelea....!
Dont worry na Fulham, fmr Devil -Mark Hughes atawapa japo Draw.
 

I always ask why Madrid and Lyon, hawa jamaa wanawatesa sana mdrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…