Kuna clip moja inasambaa kwa kasi sana FB nimejaribu kuinyofoa nimeshindwa.!!
Kama una account Fb sach jina la Ackbely Mbyellah jamaa kaishare Utaona. Kifupi Dogo yuko vizuri sana. Ni namba nne bomba kabisaaa, Hii itakuwa Bonge la Combination sambamba na Smalling.
Ukuta huu ninaimani utafikia kiwango cha ukuta wa VIDIC NA FERDINAND enzi za Babu.
BACK TANGANYIKA