Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Gomez na blind naona mipira ya juu gomez atavyo win,jonjo shelv atatoana jasho na morgan,,kuna uyu 11 wao nishda kwa darmian,,,
 
Liberty Stadium Sio parahisi especially kwa #ManU kwa kipindi cja misimu miwili hii hawa jama wamekuwa wagumu kweli

Sio parahisi mkuu ila baada ya hii gemu ya leo utaniambia..
Tuna vijana imara nawaamini.
Kunywa kapepsi kako taraatibu kunja na nne angalia gemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…