herrera ongera wewe pamoja na wengine wote kwa kuja Uku uwanda wa mabingwa karibuni sana wenyeji wenu tupo karibu cute b karibu everlenk,Nzi karibuni mzigoni.
kipindi cha kwanza game ilitaka imkatae ila nadhani ni nafasi aliyokua anacheza alikua shimoni sana, that's why hata kiungo chetu kilibwana, alivoingia bastian dogo alituonesha Herrera tunae mjua, ile pasi ile dah sijui kama sitaiota.
Herrera alikuwa shake sana first half kipindi anacheza kama CM....
CH14 Ofcourse kuna chance amekosa za wazi ila penati simlaumu sana alipiga vizur sema kuslip ndio kumemfanya kukosa

1st half alikuwa anacheza deep sana na alikuwa na mchecheto kiasi, sema alivyo ingia bastian ikawa simple kwake kucheza free, ila LVG inabidi ajifunze huyu dogo kila akichezaga timu inakuwa bora sana kuliko akikosekanaga, sijui ata watumiaje wote maana kila kiungo ana taste tofauti na mwenzake..