Huyu mzee anajeuri ya kipuuzi sana, hadi ashikiwe mabango, baada ya mechi na castle bado alikili hatasajili striker, kuna mahali nimesoma nasikia mashabiki wamepanga kukinukisha kuhusu herrera kucheza, zitaimbwa nyimbo za kumtaka kumchezesha Herrera pamoja na mabango ila haijawa specific ni kwenye mechi gani, ngoja tusubiri
Hiyo chant itakua inaimbwa FREE HERRERA
EDIT: fellain leo atacheza kama
#9