Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bavaria naona umedhamiria kujaza posts...!

Kuna mdau hapo juu ameandika anashangaa kumuuza Di Maria na kumnunua Memphis akaitwa hater!

Hata mimi nikiri bado sijaielewa hiyo biashara...
 
Last edited by a moderator:
Bavaria naona umedhamiria kujaza posts...!

Kuna mdau hapo juu ameandika anashangaa kumuuza Di Maria na kumnunua Memphis akaitwa hater!

Hata mimi nikiri bado sijaielewa hiyo biashara...

Nadhani family problems ndo zinampelekesha Di Maria and LVG has seen that.
Nimesoma articles nyingi kuhusu kuondoka kwa Di Maria, inasemekana mkewe ndo anampush out of concetration in soccer.
On a serious note: Memphis anaweza kuchezeshwa kama winger mshambuliaji na Di Maria alikuwa kiungo naturally.
Ukizingatia United tuna viungo wachezeshaji wengi basi ni vyema ku-trade off something good for something better.
 
Last edited by a moderator:
Umeongea kama jerry muro akishakunywaga Konyagi , akuna kitu cha maana ulichoongea hapo zaidi ya chuki tu na United #GGMU


Shabiki wa man utd anakuaje chuki na timu yake labda?

kwa usajili huu wa huyu babu yetu hatuna chetu do the math otherwise kajambe ulale
 

nakuelewa kaka na nimependa unaonesha una uchungu na timu bravo mkuu
but case ya di maria kwangu ts obvious van gaal hajaihandle inavyotakiwa naamini kama angemuonesha kias gani anamuhtaj tungebenefit from that ila kinachotucost ni hyo altitude ya mjivuni van gaal

kuhusu furure ya de gea kua uncertain kwangu mimi either way was big mistake kumuachia valdez cause romero is not on his class
kuhusu loris acha totenham watupige but tungejitoa akili na kumwaga mpunga besides mtu kama begovic au yule kipa wa uholanz was better choices than romero

kuhusu romero take my word cheap is expensive ngoja ligi ianze na apate chance ya kucheza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…