Manchester United (Red Devils) | Special Thread

RRONDO wewe juzi si ndo uliandika sasa hivi midfield wa kumwaga mtapata magoli mengi?

Au ni Belo? Au herrera? Nshasahau...hongereni kwa kufunga mengi asubuhi hii.

Eid Mubarak...teh teh teh teh


Last season tulifunga mengi sana mkasema mechi za pre-season hazina maana....Leo wameshinda moja unataka ku-judge timu kwa hio mechi moja ya pre-season..
 
Lakini wameshinda bhana

Mbona unatumia nafsi ya pili wingi badala ya nafsi ya kwanza mkuu? Si umesema we ni shabiki wa man utd!??


Last season tulifunga mengi sana mkasema mechi za pre-season hazina maana....Leo wameshinda moja unataka ku-judge timu kwa hio mechi moja ya pre-season..

Last season imeshapita. Juzi hapa tu baada ya usajili wa Schneider na Schwein kuna mmoja wenu alisema hiyo sentensi saivi magoli mengi mtafunga...ndo nilikuwa nasubiria kuyaona
 

afadhali unasema unasubiri maanake post niliyo quote ilionekana una make conclusion kwa mechi moja ya pre-season.
 
Unajua kuna watu wanaelewa maana ya preseason tour ila wanajifanya hawaelewi.Preseason matches ni kwaajili ya mazoezi na kufanya tathmini ni kwa kiwango gani wachezaji wanaelewa falsafa za kiuchezaji.Pia kupitia preseason matches kocha hupata fursa ya kufahamu wachezaji gani atawahitaji kwaajili ya kuendelea nao ktk msimu mpya wa ligi na wachezaji gani hatawahitaji,wapi kuna mapungufu aongeze wachezaji wapya.Teams hazihitaji kuchezesha kikosi imara ktk mechi za kirafiki na ndio maana Manchester United ilicheza vikosi wili tofauti ktk kila kipind.
 
Na ile list ya Jana ya RRONDO tafadhali copy moja iende Chelsea imfikie Mentor na ENZO

Jamaa wanatutaniaga tu lakini hawajafanya analysis na kujua kuwa sote age average ni 25yrs

Though wanatuzidi kwa idadi ya vizee



Na hapo kwenye hiyo list ya Arsenal hawaja-update taarifa za Cech (ambae ana 33) ambazo wakiziingiza (new signings zote za Man U zipo hapo) wanafikisha average age 26
 
Kuwakumbusha tu mashabiki wa Liverpool na Chelsea, kikosi cha Manchester United kinatarajiwa kuwa kama ifuatavyo: 1.De Gea 2.Darmian/Valencia 3.Shaw/Blind 4.Rojo 5.Otamendi/Jones 6.Schneiderlin/Carrick 7.Mata/Di Maria 8.Herrera/Schweinsteiger 9.Rooney/Lacazzeti 10.Pereira 11.Depay/Young.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…