Kwa nini Pellegrini hakumpanga Kolarov badala ya Clichy? Magoli yote 2 ni uzembe wa Clichy. Goli la 2,beki gani anamwacha mshambuliaji nyuma yake badala ya kumweka kifuani? Nakumbuka Clichy alitukosesha ushindi vs Birmingham mechi Eduardo alipovunjwa mguu. Mwaka ule tulikuwa katika nafasi nzuri ya kubeba kombe