Manchester United (Red Devils) | Special Thread



For the moment think Cambridge, drink Cambridge, dream Cambridge,
repeat again the name .... .... ..
khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: BAK
Duh afadhali umemwambia huyu mkaanga sumu.

 
Reactions: Nzi
Wacha1 kitu nakuja kufanya kwenye jukwaa lenu hutaamini...!!
prepare for worse
 
Last edited by a moderator:
Manchester Utd kutoa droo tuu maneno kibao kuna mtu kajaza pages mbili ndani ya siku moja tuu humu ndani...!!
Sasa vipi hao City na Chelsea waliochezea vipigo kwa hao hao wanaoitwa watoto??
 
RRONDO haina haja ya kutukimbia wageni hapa jukwaani!Hilo ni soka na tukubali hali halisi

Cha kufanya ni kupiga moyo konde kufuta machozi na usonge mbele

Hata na Cambridge LOL?

wala sijakimbia. laptop yangu inazingua ila baada ya kusoma hii comment yako imebidi nijibu kwa kutumia kamchina kangu...tumetoa draw ili tuongeze mechi na revenue si unajua hatumo CL wala CC?
 
Last edited by a moderator:


Angel di Maria was taunted with chants of ‘what a waste of money'
from Cambridge fans… so how has Manchester United
record buy gone from £60m superstar to butt of minnows' jokes?


Khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

 
Reactions: BAK
Kuna watu wamewanga sana hapa sasa kimya wanajuta wanatamani waje kudelete comment zao humu
 
Reactions: Nzi
Kuna haja pia ya kutafuta striker mwinger kwa sasa

Yap, inashangaza LVG ana mpanga Di Maria kama striker
, RVP anaenda miaka 32, Rooney anachezeshwa kiungo na inaonekana Falcao hatasajiliwa
 
Kuna haja pia ya kutafuta striker mwinger kwa sasa

Kabisa mkuu. Strikers tulionao naona kama wanakosa ubunifu inapotokea timu ikapaki bus. Nimeona kwa Southampton, Spurs na jana kwa wale watoto.
Kweli kuna umuhimu wa kuwa na striker anayevunja bus hata angalau mara nne kwa mechi moja. Halafu Falcao anakosa sana mabao, hii inatuangusha sana.
Ova
 
Replay itakua hivyo tu
 

Attachments

  • 1422129333070.jpg
    51.5 KB · Views: 137

Inasikitisha kuona timu inamiliki mpira kwa asilimia 75 mwanzo hadi mwisho wa mchezo inashindwa kupata goli
 
Inasikitisha kuona timu inamiliki mpira kwa asilimia 75 mwanzo hadi mwisho wa mchezo inashindwa kupata goli

Mtaelewa tu Van Gaffe kazi imemshinda ...... ....... .... money is not everything, na bado anahitaji mpunga mwingine anunue mastaa kama Maria et al .... nicheke mie khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Reactions: BAK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…