Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hii timu yetu bado mbovu tusubiri ikiwa nzuri tutaona mambo......picha zaidi





 
Reactions: Nzi
Steve Claridge
BBC Radio 5 live
Southampton 1-2 Man Utd
Posted at
"It was a really enjoyable game. Have I seen Southampton play better? Yes. Did they dominate and deserve to win? Yes. Manchester United got out of jail with two individual pieces of brilliance from Robin van Persie.
"Are United going in the right direction? Performance wise, certainly not. I watched Manchester City here two weeks ago and there's no comparison between Manchester City and Manchester United."
 
huwa wanahesabu magoli ndio maana soton wenye shots on target 10 wameambulia points ZERO!!!! 5 points adrift khe khe khe khe khe khe khe khe

Haki ya mama huyu jamaa asipokufa leo kwa kihoro, basi amshukuru Mungu...maana hiyo husda aliyonayo si mchezo.
 
Wenger should learn something from LVG.....baada ya timu kuzidiwa,alimtoa beki wa kati Paddy McNair na kumuingiza Ander Hererra ambae alienda katikati na Carrick akarudi center back, kwahio akarudia formation yake ya 3 backs....evans,carrick,rojo na akawapush young na valencia mbele zaidi hivyo midfield ikawa imajaa ndio game ikabalance na kupata ushindi....huyu ni kocha anaesoma mchezo na kubadilika sio unakalia style hio hio kila mechi!!!
 

Hana jipya huyo...hawa ndiyo wale wanaojifanya kuichamba #ManUnited kwa kila matokeo, iwe ni kushinda, kushindwa ama droo, utawasikia wanaikandia timu...

Kwa upande mwingine, alichokisema mbona siyo kipya...nani hafahamu kuwa timu bado siyo nzuri? Ila jambo la msingi na la tofauti na msimu wa jana, timu inapata matokeo mazuri, huku ikicheza vibaya kuliko maelezo...mbona hawashangai #United kuwa points 8 nyuma ya rent-boys na points 5 nyuma ya shitty?! Pamoja na ubovu wa #ManUnited , lakini poits difference na timu za juu yake siyo kubwa kihivyo....

I love it, back to haters hating #ManUnited

Ngoja uwasikie tena wiki ijayo dhidi ya loserfools, no matter the scoreline!!
 

Nimemsikia LvG kwenye post-match interview akisema Paddy hakuwa akicheza vizuri, na alijisikia vibaya kumtoa, ila ilibidi iwe hivyo kwa ajili ya timu...dogo ni mzuri sana, ila leo hakuwa na kujiamini, naona alivyotoka Chris, dogo akawa anapagawa kirahisi...
 

na ukitilia maanani Evans mwenyewe match fitness hana angekaa na huyu dogo hali ingezidi kuwa tete.....hayo aliyofanya LVG ni maamuzi magumu ambayo ukichelewa kuyafanya unaadhibiwa.
 
Asantee RVP kwa kutuma mashabiki sikukuu njema. Niwatakie mashabiki wa man u na haters wake kwa ujumla Happy Independence day
 
Hmmmm! but how come you have the same conclusion on yesterday's performance!?


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…