Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Malaika katoka pande la video afu Falcao kapiga nje...
 
Kwa kweli kwa Di Maria tumepata mchezaji...jamaa anajituma kwelikweli..Madrid inabidi wadai nyongeza ya hela aisee..
 
Huyu refa anamwaga kadi ka njugu..kuna uwezekano wa nyekundu hapa leo..
 
Itakuwepo red kwa mwendo wa refa ulivyo
 
Corner to United, 37th min..still 1-0 to United, Di Maria the scorer..
 
Hapo dogo McNair ameonyesha ni kiasi gani bado hana uzoefu..
 
Ila Valencia ni muhimu sana kwenye timu...jamaa uwa anajituma na kukaza sana..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…