Huyu Refaree aliniongezea presha ila 3 points zinatupeleka nlipokuwa napataka 7th (Juu ya Liver)
Red Card ya Rooney imenisikitisha kwa upuuzi alioufanya ila hatuwezi jua kipi kingetokea kama asingefanya hivyo..... Ila kwa upande mwingine nlikuwa nasubiria kumuona Falcao & RVP huku Mata akicheza nafasi ambayo alicheza Rooney leo nahisi itakuwa hivyo J2 ijayo dhidi ya Everton!!