Manchester United (Red Devils) | Special Thread


hili ndio lilikuwa wazo langu, Evra abaki maana nilikua na wasiwasi kufanya overhaul ya back four yote ni bonge ya risk move, na bado experience ya Evra inahitajika baada ya Vidic na Frednand kuondoka, nafikiri wakina Jones, Evans,Shaw na Rafael watakua na role model wa kuwaonesha njia...nice move Evra nice move benchi la ufundi MUFC
 


Nimeikuta sehemu ila haikuwa na caption...!!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
....mnh,

mwaka wa kufa nyani,....
MWENYE TIMU NAE KAFA!

Poleni wafiwa.
 
R.I.P Malcolm Glazer

Hope Joel, Brian na Avram wataendeleza jahazi

GGMU
 
Poleni kwa msiba wana Manchester United. Ni msiba mkubwa wa kuondokewa na mmiliki wa timu yenu. Sijui itakuwaje mwakani natagemea watoto wasigombanie urithi na wakaipeleka timu yenu katika administration
 
rubaman

Kama mwaka au hata miaka 2 Utd ilikuwa inaongozwa na Joel, kwahiyo hakiharibiki kitu
 
Last edited by a moderator:
Observer, vizuri kama ni hivyo. Lakini kama watoto wengine wakigombania shares za baba yao itakuwa mbinde Old Trafford. Naomba msije mkawa kama Rangers, Pompey.
 
Sema kwenye hela watu wanabadilika sana ..... hukawii kuona watoto wakalianzisha varangati

Na ukichukulia kuna rumours muda mrefu "wazee wa mafuta" wanataka kuinunua UTD ,, mhhh ngoja tuone
 
Nadhani hawa hawatakuwa hivyo, jamaa wapo kibiashara(kimafanikio zaidi) wote wanaonekana wana akili sio wale wenzangu na mimia lakini pia huwezi kujua kuna familia nyingine zinakuwa na mshikamano dingi au mother akiwa hai pindi akifa mshikamano unasambaratika. Nawatakia Man Utd family condolences kwenye kipindi hiki kigumu kilichowapata
 

Ngoja tuone itakavyokuwa ila mpaka sasa dalili zinaonyesha kila kitu kitakuwa kama kilivyo

Tunasubili dirisha la usajili lifunguliwe "World Class Players" wapya waje kuanza mazoezi carrington training ground na wakina Rooney {Ninajua haters mtatekeleza jukumu lenu kwa nilichoandika hapa}
 

LOL dalili za usajili wa "World Class Players" tumeshaanza kuziona toka kwa kina Kroos, Robben, Hummels wote wanahaha kusaini mikataba ndani ya Old Trafford.
 
LOL dalili za usajili wa "World Class Players" tumeshaanza kuziona toka kwa kina Kroos, Robben, Hummels wote wanahaha kusaini mikataba ndani ya Old Trafford.

Hautaamini watu watakaokuja old traford msimu ujao .... tutatisha mkuu amini maneno yangu

Lol nimeona Macheda leo kawa released by UTD ... kumbe alikuwa bado anavuta mpunga tuu

Ila sio mbaya kaenda kwenye "tawi letu" kama mnavyosemaga; Cardiff
 
Hautaamini watu watakaokuja old traford msimu ujao .... tutatisha mkuu amini maneno yangu

Lol nimeona Macheda leo kawa released by UTD ... kumbe alikuwa bado anavuta mpunga tuu

Ila sio mbaya kaenda kwenye "tawi letu" kama mnavyosemaga; Cardiff

Cardiff si wameshuka daraja? Labda atawasaidia katika FA Cup na Capital One Cup tu. Nasubiri nione vifaa mtakavyoleta lakini najua LVG anaweza kushawishi baadhi ya wachezaji wazuri wasiopata au wenye wasiwasi wa kupata namba msimu ujao katika timu zao kama Mario Mandzukic kuja kwenu lakini wale wenye uwezo wa kuwa ndani ya first 11 na wanaopenda UCL itakuwa kazi labda m-double mishahara yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…