kwanza hii ndo ilikuwa squad. Hapo bruno siyo right wing yaani anacheza pembeni na anarudi 10 anapishana na tielemans halafu Amad anacheza right wing🤔 wakati yeye ni left wing, nje kuna cunha typical right wing na hana changamoto yoyote. Carrick tactical yuko very poor, clueless, ule upepo wa last seasons ilikuwa ni mabaki ya Amorim, huyu carrick ni bogus kabisa.
Angalia sub Baleba➡️mount, ndani kuna santos amechoka, ni box to box typicaly midfield, unaingiza box to box midfield, japo ni mzuri kwenye kupress, ila pale dimba lilipwaya sana.
Sub nyingine mazroui(right back)➡️Martinez(centreback,) poor substitution!
Hii ya Tielemans aliyotoka akaingia cunha niliona kidogo ni sawa ila ujinga aliyofanya alimpeleka kwenda kucheza namba kumi badala ya wing, na hapo utamlaumu wilcox?
Huyu akila x mass sijui.