Amorim anajua Epl ni sawa na ligi yao ya madafu Primeira Liga, njoga jumapili Liverpool wamkaribishe rasmi kweli ligi ya kiume ndio akili itamkaa sawa na hio formation yake ya 3-4-2-1
10Hag aligongwa 7 huyu akikoswakoswa goli 8+ zinamuhusu.