Man u inawachezaji wa kawaida sana ila pamoja na hayo hawa wachezaji hawapiganii timu sababu wameshajua wengi wao hawapo kwenye mpango wa kocha hivyo huyu kocha atafungwa sana na sijui kama kuna mechi atashinda kwakweli labda afanye maamuzi magumu asajili January hii na kuwatema baadhi ya wachezaji.