Ila huyu mjukuu wa vasco da gama uwezakano wa kuwa mzaramu Ni mkubwa😀
Wiki mbili zote anapepeta mdomo tu mazoezi aaaa
Niliona juzi imerushwa clip wanakabana na Evans
Yeye analipwa mshahara kufundisha wachezaji yeye anajifanya mchezaji
Huyu akfka Christmas mniite gaidi😅