Manchester United kuendeleza ubabe ligi ya Mabingwa

Manchester United kuendeleza ubabe ligi ya Mabingwa

&#65510;»¡[€=>:-X:-Cx-(<3🙂:-V:-$ k:'(😵:-C MOYES. J:'🙂-/:-!:-|:-O:-@:-X:'🙂-\"-7#@? ¥§}_=~{`°®©_=}»¿¿|.:-!:-DXDO🙂;-🙂:-[:-/6"! MOYES "&/:-#9¢>€$»®|§¡¿¿<{§[:-X:-*:-/:-C:-@:-Q:-V:-\:-*:-$37 £»&#65510;{gD§{`®° MOYES &#65510;{¥€©`°|$=«&#65510;:-QXD😵x-🙂-!:-@:'(6'"!?+)0:+8€&#65510;§}]©^`°|$=«»
 
Kutokana na matokeo ya jana hii views iliyotolewa na World Soccer Talk
Manchester United topped a potentially tricky group containing Bayer Leverkusen, Shakhtar Donetsk and Real Sociedad and have been rewarded with a tie against not only the weakest team left in the competition, but a team who sold their outstanding player in the January window. With that in mind, there is no excuses for Moyes and United not to progress to the last eight of the competition. The pressure is well and truly on though, and it'll be up to them to step up and deliver; admittedly something we've seen very little of so far under Moyes' tenure.
​

My take; Team ya Man United njooni mnisaidie kupalilia shamba langu la minanasi, Soka hamliwezi!

 
halafu tarehe 25 march tunakutana! Saba na kuendelea zitawahusu! Man City Tupooooooooooooooooooooo?
 
Manchester United ndani ya Champions League imecheza vizuri sana mpaka inaingia hatua hii.
Kwa hivyo basi mimi utabiri wangu ni:
Olympiakos 1-3 Manchester United

Tuendelee.............

1-3= -2

Utabiri wako uko njema, una akili sana za hesabu lkn umeshindwa kujua jambo la kijamii, CHA WOTE NI MAJI MARA MOJA
 
Leo itabidi kuishabikia tuu hii, maana wale waingereza wawili waliocheza last week, vichwa chini kama wamemwagiwa barafu..

Kuna tofauti ya kufungwa na Bayern na Olympiacos, heri yenu mmeondoka vichwa juu
 
Jana usiku ilikuwa ni msiba mwingine kwa wapenzi wa Man U, baada ya kupokea kichapo toka kwa timu ambayo wao man u walikuwa wanajipa moyo kuwa wange itandika!.poleni sana na hilo ndio soka la ulaya.
 
...man u imekuwa kama lori la mkaa haliishiwi vimbi jeusi...
 
Leo itabidi kuishabikia tuu hii, maana wale waingereza wawili waliocheza last week, vichwa chini kama wamemwagiwa barafu..

Hongera sana kwa kuishabikia man u maana jana imempiga mtu za shingo!!!!
 
Man U na Simba ni janga la Taifa maana wanawasababishia watu Ugonjwa wa Moyo.
 
Back
Top Bottom