Manchester United itacheza Uropa mwakani?

Manchester United itacheza Uropa mwakani?

lugoda12

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
311
Reaction score
644
Naomba kuuliza swali wana #JF, hivi kwa matokeo ya Manchester United kunyakua kikombe cha FA baada ya kumfunga Manchester City 2-1 leo, je wanayo nafasi katika michuano ya EUROPER?
 
Mkuu tunayo , unakunywa pombe gani🤗
 
Back
Top Bottom