kila la kheri city....!!!!!
yah!nimekuja kuwasapot etihad hapa,
Fernandinho yuko wapi leo? Pellegrini alifungwa na Mourinho darajani kwa sababu alikosea kupanga team, sasa leo kuna partnership ya Yaya na Demichelis, upande wa kushoto wa beki yenu ndio nako kichochoro, Nastazic na Kolarov?
juu kwenye msimo etiMan city lazima wakae?
subiri uone mwenyewe kama kutakuwa na uchochoro au la kwani washajua ugonjwa wao..