Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Wacha nichekeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Unanikusha wale wakikuyu (kama sikosei ni msimu wa 2011-2012) walipo amua kuharakisha safari yao ya kurudi kwa baba. Sintashangaa nikisia na leo yamejirudiaMatokeo kama haya yalinifanya niitose 'aseno', nilijiuliza kwa nini nakosa raha kwa timu ya mzungu, nashindwa kula na kulala!: bila shaka hata leo kuna watu watafuata nyayo zangu.
Pasua kabisaa ikibidi chinja tu, maana mtaani hapanogi kwa kelele zao, poshà
Me nilidhani tayari kesha Chukua ubingwa!! Kumbe yuko kileleni?Sio mbaya sana, mcheza kwao hutuzwa....na Arsenal bado wapo kileleni.
Hapana, bali naamini zile kelele zao zitapungua kidogo.Na ninyi ndio mmeanza kelele sasa.
Jamani km kawaida ngoma ya watoto haikeshiiiiiiii!
Goma limekwisha
Man city 6
Arsenal 3
Muda si mrefu tutaelekeza macho yetu Kwa mabingwa wa ulaya Wa kwanza Wa London Yani matajiri wakiwa Darajani kugawa dozi nzito dhidi ya vibnde!
Sasa watoto Wa Wenger mfufua vipaji wanaongoza Kwa tofauti ya poin 2!
Mpaka January watakua nafasi ya 3
Nitakutafutia ban siku hiyo.Asante Mkuu nakwenda!
Tutakutana tena USO Kwa USO na siku ya Arsenal v/s Chelsea!
Matokeo kama haya yalinifanya niitose 'aseno', nilijiuliza kwa nini nakosa raha kwa timu ya mzungu, nashindwa kula na kulala!: bila shaka hata leo kuna watu watafuata nyayo zangu.
Humtishi mtu wewe!
Huu ni Mpira!
Chelsea 1
Crystal Palace 0
Tukifanikiwa Kupata point 3 muhimu tutakuwa tumejiweka katika sehemu nzuri saana.
All in all ni kwamba in Arsene We Trust.
..COYG..